SABABU ILIYOMFANYA TECNO AMKATAE MASOGANGE KUWA HANA MAHUSIANO NAYE NI HII HAPA


 maso
Mrembo Agness Masogange ameendelea na stori yake kuhusu yeye na Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tecno Miles, hii baada ya msanii huyo Tecno kukanusha kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na mwanadada Masogange.Agness aliweka wazi sababu ambayo inamfanya Tecno kukanusha kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na Agnes ni kuhusiana na kuona wivu baada ya Agnes kuwa na ukaribu na msanii mwingine kutoka Nigeia Davido.Hiyo ni picha ambayo aliposti Masogange akiwa na msanii Davido wakila bata na kuiandikia picha hiyo caption ya
"Kumbe brother alipaniki kitambo kisa OBO Baddest" alisema Agnes na baada ya mda aliitoa picha hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

Nyota ya Simon Msuva yazidi kungáa katika klabu yake ya Difaa El Jadid

MFANYAKAZI WA PPF AKAMATWA AKISAFIRISHA MIRUNGI

SAKATA LA AIRTEL LAZIDI KUKOLEA....TEWUTA NAO WAIBUKA