Rais wa Russia autambua mlipuko wa St. Petersburg kuwa shambulizi la kigaidi


Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, mlipuko uliotokea jumatano kwenye supamaketi moja mjini St. Petersburg nchini humo ni shambulizi la kigaidi.
Rais Putin ameagiza Idara ya usalama FSB kuwakamata magaidi haraka iwezekanavyo, na kwamba endapo maofisa wa usalama watakabiliwa na hatari ya maisha kwenye operesheni ya msako, wamepewa mamlaka ya kuwaangamiza magaidi papo hapo bila haja ya kuwakamata hai.

Comments

Popular posts from this blog

Nyota ya Simon Msuva yazidi kungáa katika klabu yake ya Difaa El Jadid

MFANYAKAZI WA PPF AKAMATWA AKISAFIRISHA MIRUNGI

SAKATA LA AIRTEL LAZIDI KUKOLEA....TEWUTA NAO WAIBUKA