Biashara kati ya China na nchi za nje yatarajiwa kuzidi dola za kimarekani trilioni 4 katika mwaka 2017


Msemaji wa wizara ya biashara ya China Bw. Gao Feng amesema, thamani ya biashara kati ya China na nchi za nje itazidi dola za kimarekani trilioni 4 katika mwaka 2017, na itaendelea vizuri na kwa utulivu katika mwaka 2018.
Ripoti iliyotolewa leo na wizara ya biashara ya China imesema, thamani ya biashara kati ya China na nchi za nje katika miezi 11 iliyopita ya mwaka 2017 imefikia dola za kimarekani trilioni 3.7, ambacho iliongezeka kwa azilimia 15.6 kuliko mwaka jana wakati kama huu.

Comments

Popular posts from this blog

Nyota ya Simon Msuva yazidi kungáa katika klabu yake ya Difaa El Jadid

MFANYAKAZI WA PPF AKAMATWA AKISAFIRISHA MIRUNGI

SAKATA LA AIRTEL LAZIDI KUKOLEA....TEWUTA NAO WAIBUKA